Eti kwa umri huu ni mbaya kuwa Freemanson?

Eti kwa umri huu ni mbaya kuwa Freemanson?

Jamani kama Kuna mtu ambaye anajua mganga au mafrenmason wanakubali mie niwatoe wafuatavyoo, andika NI PM Kwa herufi kubwa Sina ulaghai .
1.wachawi wote waliozima riziki zangu
2. Watesi wangu
3. Wanaume waliowahi kudate na Mimi wakaniacha na wengine nitakao kuwa nao ila sio mwanaume atakayenioa .

4. Ndugu zangu wa mbali kama watoto wa wajomba , shangazi , na wamama wadogo .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom