Eti kwa umri huu ni mbaya kuwa Freemanson?

Yaani kwa hivi ulivyoandika tu hufai kuwa freemasonic ! unaropoka sana freemasonic wanataka watu wenye kaliba ya USIRI NA UJASIRI.
 
 
Hii ndio Nini?? Acha kunisingizia ujinga kama huo kama kaka zako ndio wanatongozana Basi ni wao ,kitu serious kama hiki usinizushie mpuuzi kama wewe Tena usinizoee kama ulivyozoea hao mashoga wenzako unikome Tena usinizoee takataka
 
Kitu usichokijua ni kwamba Freemasons hairuhusu wanawake kujiunga, freemason ni maalumu kwa waname tu.
 
Freemasons watu wanaingia kifamilia na kujuana kwa karibu na watu waliokuwa humo freemasons, sio mtu tu huna connection yoyote,

Yani lazima kwenye ukoo wenu kuwe tayari kuna freemasons ama basi angalau kuwe na mtu freemasons ambaye amependezwa sana na sifa zako nzuri kijamii, maana kuwa freemasons lazima uwe na sifa nzuri kijamii, sio mtu tu wewe huja fanikiwa lolote uingie freemasons ukaitie doa
 
pata hela za chapuchapu, nunua magari chapuchapu,jenga chapuchapu alafu ukufe chapuchapu.alafu uache ndugu zako wakigombania mali chapuchapu.
Unawahi wapi?πŸ€”
Utapata hela zote alafu unakufa unaziacha.Ili nini?
Ya nini kujitesa ilhali unaviacha vyote hapa wakati kuna njia halali za kujipatia pesa na maisha yakawa yanaenda tu?.
Fikiria tena.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu jaman khaaah
 
Umeacha kudanga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…