Eti mtoto asipofikisha wastani haendelei. Private school dawa yao jiwe

Annie X6

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2023
Posts
704
Reaction score
1,331
Nimewapa mtoto hajui kusoma Wala kuandika .. mmemfundisha mmeshindwa mm nahusika vpi na mtoto hakuwa amesoma popote na ni Miata saba naenda nane

Ni hakika walimu wanastahil kupewa mitihani(interview)

Shule za private Zina walimu wabovu kupindukia
 
Pole sana lakini naomba nikukumbushe kuwa private sectors zina sera zao ambazo wanaziishi ili taasisi zao ziendelee kukua na kuishi.

Kabla hujapeleka mtoto wako shule "X" angalia sheria na sera za shule husika kabla hujapeleka mtoto wako ili kuepusha migogoro isiyokuwa ya lazima kwasababu shule za Private zipo nyingi sana.

Pia fuatilia maendeleo ya kitaaluma ya mtoto wako kila hatua ili ugundue changamoto zake ikiwa bado mapema ili uombe apewe msaada kwa muda wa ziada.

Kumbuka kuwa dunia ina ubaguzi tangu imeumbwa, kama huwezi kufanya kitu fulani katika mazingira fulani kulingana na sheria na taratibu za eneo fulani lazima mfumo ukutapike.

Pole sana!
 
Nimewapa mtoto hajui kusoma Wala kuandika .. mmemfundisha mmeshindwa mm nahusika vpi na mtoto hakuwa amesoma popote na ni Miata saba naenda nane

Ni hakika walimu wanastahil kupewa mitihani(interview)

Shule za private Zina walimu wabovu kupindukia
Mkiambiwa mchague watu wa kuzaa nao mnaona wengine hawana akili. Unamtoto tahira kwann aendelee kusoma kwamba hiyo shule watoto wote ni wajinga kama wakwako. Ushashindwa ada mpeleke kata basi
 
Nimewapa mtoto hajui kusoma Wala kuandika .. mmemfundisha mmeshindwa mm nahusika vpi na mtoto hakuwa amesoma popote na ni Miata saba naenda nane

Ni hakika walimu wanastahil kupewa mitihani(interview)

Shule za private Zina walimu wabovu kupindukia
Mwanao kilaza huyo hakuna namna akaririshwe darasa tu huenda alipata low score(APGAR SCORE) pia kipindi anazaliwa
 
Nimewapa mtoto hajui kusoma Wala kuandika .. mmemfundisha mmeshindwa mm nahusika vpi na mtoto hakuwa amesoma popote na ni Miata saba naenda nane

Ni hakika walimu wanastahil kupewa mitihani(interview)

Shule za private Zina walimu wabovu kupindukia
Mkuu nipe kazi ya tuition kwa mwanao nipo dodoma
 
Back
Top Bottom