Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Kwa sasa hivi kutokana na Mfumo wa PREM sio rahisi sana kwa mtoto anayesoma Sekondari kurudia kidato. Iwe Shule ya Serikali au ya Binafsi. Ili mtoto kurudia LAZIMA apate kibali cha NAIBU KATIBU TAWALA MKOA. Na bila hicho kibali anaweza ASIPATE Namba ya Mtihani wa Upimaji Kidato cha Pili na Kidato cha Nne inayotolewa na Baraza la Mitihani la Taifa.