Eti mtoto asipofikisha wastani haendelei. Private school dawa yao jiwe

Eti mtoto asipofikisha wastani haendelei. Private school dawa yao jiwe

Nimewapa mtoto hajui kusoma Wala kuandika .. mmemfundisha mmeshindwa mm nahusika vpi na mtoto hakuwa amesoma popote na ni Miata saba naenda nane

Ni hakika walimu wanastahil kupewa mitihani(interview)

Shule za private Zina walimu wabovu kupindukia
Broo angalia historia yako au ya mama mtoto kichwani kama zilikuwemo maana tunaweza kuwa tunawalaumu walimu bure
 
Toto jinga peleka shule za jiwe sw.Ada sio kigezo. Kigezo ni akili kubwa sw
 
mtaftie shule nyengine tu mkuu, zipo nyingi tu ambazo hazina ayo masharti
 
mtaftie shule nyengine tu mkuu, zipo nyingi tu ambazo hazina ayo masharti
Mbona Kuna walim mahiri. Dah naumia Sana. Kuna mwl nilimshuhidia akiwatoa watoto wanajua kuongea na kuandika English,Arabic, french yule mama ni hazina. Alichukukiwaga na wanaojua thaman yake.

Sijui hara Yuko wapi. Nddio maana nasema sio Kila Mwl anakiwa wa kindergarten au STD one. Wengin wanatafuta maisha tuuuu
 
Mkiambiwa mchague wanawake,
Kigezo Cha Kwanza Mnaangalia tako [emoji1787]

MKe hawez kua tako
afu the same time akawa na intelligent
Always Mtoto anarithi 75% ya akili Toka kwa mama[emoji28]
 
Nimewapa mtoto hajui kusoma Wala kuandika .. mmemfundisha mmeshindwa mm nahusika vpi na mtoto hakuwa amesoma popote na ni Miata saba naenda nane

Ni hakika walimu wanastahil kupewa mitihani(interview)

Shule za private Zina walimu wabovu kupindukia
Sentensi ya mwisho inaonesha wazi unaongozwa na mhemko kuliko uhalisia. Huwezi kutoa kauli ya kiujumla namna hiyo ukawa sahihi. Watake radhi haraka sana!!
 
Screenshot_20230626-101944_(1).png
 
Nimewapa mtoto hajui kusoma Wala kuandika .. mmemfundisha mmeshindwa mm nahusika vpi na mtoto hakuwa amesoma popote na ni Miata saba naenda nane

Ni hakika walimu wanastahil kupewa mitihani(interview)

Shule za private Zina walimu wabovu kupindukia
Wadai ada yako... Kama ka, imewameshindwa warudishwe ada tu... Hamna jinsi😂😂
 
Kama unajimudu kumlipa kinabatala wakurudishe ela yako, walitakiwa wakwambie mapema Mtoto haelewi si kusubiria mpka umechoma ela yote
 
Mkiambiwa mchague watu wa kuzaa nao mnaona wengine hawana akili. Unamtoto tahira kwann aendelee kusoma kwamba hiyo shule watoto wote ni wajinga kama wakwako. Ushashindwa ada mpeleke kata basi
Sio vizuri kumuita mtoto wa mwenzio "tahira"

Mpe ushauri..usimuattack mtoto
 
Huu Uzi unatuhusu sana wenye watoto wenyr akili darasani na wenye watoto habati mbaya uelewa wao no slow.

Kwa hiyo ninsuala la kupeana ushauri was kiutu na uwe faida Kwa mtoto
 
Back
Top Bottom