Broo angalia historia yako au ya mama mtoto kichwani kama zilikuwemo maana tunaweza kuwa tunawalaumu walimu bureNimewapa mtoto hajui kusoma Wala kuandika .. mmemfundisha mmeshindwa mm nahusika vpi na mtoto hakuwa amesoma popote na ni Miata saba naenda nane
Ni hakika walimu wanastahil kupewa mitihani(interview)
Shule za private Zina walimu wabovu kupindukia
Kwa hio mama nae zero binti sifuri ?Huenda amerithi vinasaba vya uzito wa kutoelewa kutoka kwa wazazi 😂😂😂
Ndio tena mzazi unapigiwa simu mapemaWanamfukuzia mbali anawaharibia sifa ya shule yao kwamba haina masifuri ?
Kwa hio mzazi akachukue sifuri yake ?Ndio tena mzazi unapigiwa simu mapema
Unatajua wew na mwanaoKwa hio mzazi akachukue sifuri yake ?
Mbona Kuna walim mahiri. Dah naumia Sana. Kuna mwl nilimshuhidia akiwatoa watoto wanajua kuongea na kuandika English,Arabic, french yule mama ni hazina. Alichukukiwaga na wanaojua thaman yake.mtaftie shule nyengine tu mkuu, zipo nyingi tu ambazo hazina ayo masharti
Sentensi ya mwisho inaonesha wazi unaongozwa na mhemko kuliko uhalisia. Huwezi kutoa kauli ya kiujumla namna hiyo ukawa sahihi. Watake radhi haraka sana!!Nimewapa mtoto hajui kusoma Wala kuandika .. mmemfundisha mmeshindwa mm nahusika vpi na mtoto hakuwa amesoma popote na ni Miata saba naenda nane
Ni hakika walimu wanastahil kupewa mitihani(interview)
Shule za private Zina walimu wabovu kupindukia
Wadai ada yako... Kama ka, imewameshindwa warudishwe ada tu... Hamna jinsi😂😂Nimewapa mtoto hajui kusoma Wala kuandika .. mmemfundisha mmeshindwa mm nahusika vpi na mtoto hakuwa amesoma popote na ni Miata saba naenda nane
Ni hakika walimu wanastahil kupewa mitihani(interview)
Shule za private Zina walimu wabovu kupindukia
mtu akipgwa bani kisa kakutukana atakuwa ameonewa.Mtoto asie na akili anasomaje si atachafua sifa ya shule
Sio vizuri kumuita mtoto wa mwenzio "tahira"Mkiambiwa mchague watu wa kuzaa nao mnaona wengine hawana akili. Unamtoto tahira kwann aendelee kusoma kwamba hiyo shule watoto wote ni wajinga kama wakwako. Ushashindwa ada mpeleke kata basi
Huyo jamaa bhana badala atoe ushauri nini kifanyike, yeye amekazania kum-attack mtoto kitu ambacho hata hakisaidii chochote.mtu akipgwa bani kisa kakutukana atakuwa ameonewa.