Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Upo wapi ndugu ,shule mbona zipo nyingi sio Kila private ni Bora, ila zipo shule Bora kabisaNimewapa mtoto hajui kusoma Wala kuandika .. mmemfundisha mmeshindwa mm nahusika vpi na mtoto hakuwa amesoma popote na ni Miata saba naenda nane
Ni hakika walimu wanastahil kupewa mitihani(interview)
Shule za private Zina walimu wabovu kupindukia
Ulisoma Sheria za shule kabla hujampeleka au baba na mtoto wote VILAZA tupu,Nimewapa mtoto hajui kusoma Wala kuandika .. mmemfundisha mmeshindwa mm nahusika vpi na mtoto hakuwa amesoma popote na ni Miata saba naenda nane
Ni hakika walimu wanastahil kupewa mitihani(interview)
Shule za private Zina walimu wabovu kupindukia