ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Eti kwa mfano mwanaume alikuwa na ex wake waliopendana ila akazinguaga mwanamme wakaachana na mwanamke alikuwa anampenda Sana huyu mwanamme yaani Sana alijitoa ila jamaa akaleta mawenge.sasa baadae jamaa akapata mke mwingine na wakazaa ila baada ya kama Miaka mitatu wamekutana tena na ex na bado kajitunza mzuri zaidi na ana tabia njema na bahati nzuri ana pesa balaa nyingi sana kafanikiwa kifupi sio tegemezi.Sasa mwanamme kamtamani tena ex na anamuonea huruma bado Hana mtoto wala bwana na Miaka inaenda karibia 34 huko na alipomtongoza tena ex kamkubalia yupo tayari amzalishe ila kwa sharti kwamba jamaa akamuombe ruhusa mke wa ndani akiridhia sawa maana hapendi baadae migogoro.Ndo swali nauliza je ni sahihi jamaa kumuomba mke ruhusa kwamba amtie mimba mwanamke wa kando au itaonekan ndo kuchanganyikiwa kwenyewe bahati mbaya wahusika wote NI wakristo ingekuwa ndugu zetu ingekuwa easy Tu.
Robert Heriel Mtibeli
Heaven Sent
Robert Heriel Mtibeli
Heaven Sent