Tetesi: Eti Na mwaka huu mishahara kutokupanda! Du!

Tetesi: Eti Na mwaka huu mishahara kutokupanda! Du!

Watumishi hata msiumize kichwa mwendo ni ule ule chaka la kujifichia lipo tayari ni vita vya Ukraine.

Hivi wale watumishi wanaobebaga mabango siku ya meimosi huwa wanalipwa bei gani?

#MaendeleoHayanaChama
wanapewaga buku ten na t shirt, hahahaaaaa yaani man power ya kibongo inatia huruma sana
 
The wage bill is to high for our country we can't manage to increase the salary for this financial year
 
Yaan ningekuwa na uwezo wa kuwashawish watumishi wote ambao watakuwa kwenye sherehe siku ya meimosi
Yaan baada tu ya rais kutamka kuwa hamna nyongeza bas wote tuamke na kuondoka bila kufanya lolote tumwachie sherehe yake[emoji34][emoji34]
 
Yaan ningekuwa na uwezo wa kuwashawish watumishi wote ambao watakuwa kwenye sherehe siku ya meimosi
Yaan baada tu ya rais kutamka kuwa hamna nyongeza bas wote tuamke na kuondoka bila kufanya lolote tumwachie sherehe yake[emoji34][emoji34]
Will be very positive move!
 
Tatizo ni vita ya urusi na Ukraine muwe wavumilivu jamani tumalize mambo ya msingi huku marekani.
 
Hawahitaji kura zenu kubaki madarakani.
Wanainchi wa kawaida mtaani washachoshwa na mama kutokana na kupanda kwa gharama za maisha ila kundi ambalo linacheka na mama ni lile kundi ambalo kipindi cha mwenda zake halikumpenda kundi ambalo likikuchukia basi utendaji kazi wako unakuwa na wasi wasi sana Kuni la wafanya biashara na watumishi wa umma hili kundi mama bado hajaligusa linamchekea linaona mkombozi wao ndio uyu,

Angalizo kubwa mei mosi asipotamka jambo alaleta usanii wa mwenda zake mama ataingia kwenye mgogoro mkubwa sana na hatoamini Hilo kundi Lina nguvu sana na ushawawishi sana so litakapokaa nakuanza muongelea vibaya ikiwa tayali watu mtaani wanamuongelea vibaya mama atapata wakati mgumu sana
 
wanapewaga buku ten na t shirt, hahahaaaaa yaani man power ya kibongo inatia huruma sana
Halafu wanalia njaa mwaka mzima tena kwa matumaini feki..utumishi wa umma hasa loko government wengi ni mazuzu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Serikali imeshapata kisingizio! Vita vya Russia na Ukraine! Kimsingi hata Vita visingekuwepo Serikali haijawahi kuwa na dhamira ya kuongeza mishahara kwa watumishi wake.
 
Huwa nashangaa sana na huu mtazamo wa watu kutaka kupandishiwa mishahara! Wakati wewe unalilia uongezewe mshahara yupo ambaye ana sifa za kuwa mfanyakazi wa serikali kama wewe na anataman hata huo mshahara ulionao wewe! Au ndio ile kusema mwenye nacho huongezewa?
Kila mtu na msiba wake...wengine ndo huu sasa
 
Back
Top Bottom