Eti, "natafuta mke/mume mwenye hofu ya mungu", nyambafu!

Katafute wasio na hofu wakunyooshe kijana! Ni huogopwi wewe wala mwana wako! Wala punda wako! Wala kijakazi wako! Wala chochote kilicho ndani ya malango yako! Nikikufuma nakupiga kiberit ndani ya malango yakošŸ¤—
 
Mi nawatafuta wanaompenda mungu si wanaomwogopa. Sipendi nidhamu ya woga bhana.
 
Back
Top Bottom