mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
Mwanaume mwenye hofu ya Mungu ni bora kuliko mwanamke mwenye hofu ya Mungu(Hii ni kwa wakristo).
Kimsingi wanawake wote walio timamu hushika dini ama mafundisho flani ya kiroho(Sababu ni nyingi ukifuatilia), hata wale wenye mienendo mibaya.
Kwahiyo kushika dini sio kigezo cha kutofautisha wanawake kwasababu wote wanacho.
Ni kama jinsi ambavyo wanaume wengi hufuatilia michezo na kutumia vilevi. Kuna namna flani dini ni jambo la kike kwa kiasi...