ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Siamini mkuu ndio maana siendiHudhuria mkuu kama ni kitu unachoamini na kinakupa amani. Usijali kuhusu watu. Pia kama huamini unaweza ukahudhuria tu ukutane na watu mpige stori...
Kama ni story ikitokea nikawiwa nitaenda ila sasa story zita balance?