Eti, "natafuta mke/mume mwenye hofu ya mungu", nyambafu!

Katafute wasio na hofu wakunyooshe kijana! Ni huogopwi wewe wala mwana wako! Wala punda wako! Wala kijakazi wako! Wala chochote kilicho ndani ya malango yako! Nikikufuma nakupiga kiberit ndani ya malango yako🤗
 
Mi nawatafuta wanaompenda mungu si wanaomwogopa. Sipendi nidhamu ya woga bhana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…