ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
ππ ila napenda avatar yako nikiiona lazima nitabasamuWa mbinguni sijui angani!
Watu mna hofu ya Mungu na hamseni jamani, Mamaa mimi nakuhitaji na hofu yako ya Mungu.Uzi wako umefutwa kule kaanzishe uzi mpya kaka fuzz
Na nyongeza unapewaπHawataki tena chips yao, wanataka mirinda tuu π
Unataka kutufanya nini mimi na hofu yanguπWatu mna hofu ya Mungu na hamseni jamani, Mamaa mimi nakuhitaji na hofu yako ya Mungu.
Kama hana pa kukaa?Nisikilizeni mwanaume wa ukweli hakai ukweni
Hahaha π.Tafuta wachawi wenzio hukoπ
Kumekucha πHofu na Mungu why? mtu kama sio bikra na hajaolewa yule atakuwa hana hofu ya Mungu.
Wape Namba zangu, mm ndo nawapenda hao πNa nyongeza unapewaπ
Hi avatar ni ulimbo ya watoto wa kike mkuu. Bibie GENTAMICINE aligusa akanasa π.ππ ila napenda avatar yako nikiiona lazima nitabasamu
Wamakonde na wamakua haoNisikilizeni mwanaume wa ukweli hakai ukweni
ππ astghafirullah mie napendaga tu avatar fulan hivi mfaano hii yako na Min-meHi avatar ni ulimbo ya watoto wa kike mkuu. Bibie GENTAMICINE aligusa akanasa π.
Pm yangu imefurika mkuu.Endeleeni kudiscuss huko huko pm π
Nikikuwa nikupe dadayangu nilipoona nyambafiu uwiii nkarun
Yule mwanamke hana shida. Ila ana wivu kwa mbali.Huyo bibie akikusikia shauri yako
πππYule mwanamke hana shida. Ila ana wivu kwa mbali.
Nyambafu mbona siyo tusi.Nikikuwa nikupe dadayangu nilipoona nyambafiu uwiii nkarun
tuwahi kupata kilicho bora, tusije kuokota kigagula bure πUnataka kutufanya nini mimi na hofu yanguπ