mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
Wewee nimpe nyambafi dadayangu mweewe bora nigawe bureNyambafu mbona siyo tusi.
Mwanamke asiejihusisha kabisa na mambo ya dini yupo kundi gan au ndio ataonekana shetani?Mwanaume mwenye hofu ya Mungu ni bora kuliko mwanamke mwenye hofu ya Mungu(Hii ni kwa wakristo).
Kimsingi wanawake wote walio timamu hushika dini ama mafundisho flani ya kiroho(Sababu ni nyingi ukifuatilia), hata wale wenye mienendo mibaya.
Kwahiyo kushika dini sio kigezo cha kutofautisha wanawake kwasababu wote wanacho.
Ni kama jinsi ambavyo wanaume wengi hufuatilia michezo na kutumia vilevi. Kuna namna flani dini ni jambo la kike kwa kiasi...
Nimemtafuta sana bila mafanikio mkuu.Mwanamke asiejihusisha kabisa na mambo ya dini yupo kundi gan au ndio ataonekana shetani?
Kwa nini umuogope mungu ambaye anadai kuwa yeye ni mwema na mwenye upendo? Hapa ndipo nilipopalenga nilipoanzisha Uzi.Mwanaume mwenye hofu ya Mungu ni bora kuliko mwanamke mwenye hofu ya Mungu(Hii ni kwa wakristo).
Kimsingi wanawake wote walio timamu hushika dini ama mafundisho flani ya kiroho(Sababu ni nyingi ukifuatilia), hata wale wenye mienendo mibaya.
Kwahiyo kushika dini sio kigezo cha kutofautisha wanawake kwasababu wote wanacho.
Ni kama jinsi ambavyo wanaume wengi hufuatilia michezo na kutumia vilevi. Kuna namna flani dini ni jambo la kike kwa kiasi...
Nipe tu mkuu.Wewee nimpe nyambafi dadayangu mweewe bora nigawe bure
Kigagula hakina hofu ya Mungu 😃tuwahi kupata kilicho bora, tusije kuokota kigagula bure 😅
Mimi hapa sijihusishi na mambo ya dini kabisa japo nimesoma madrassa baadae ukristo mwisho nikaacha kabisa je nitahesabika kama shetani?Nimemtafuta sana bila mafanikio mkuu.
Hujatafuta wewe!!Nimemtafuta sana bila mafanikio mkuu.
Hapana. Mara yako ya mwisho kwenda kwenye nyumba ya ibada ni lini?Mimi hapa sijihusishi na mambo ya dini kabisa japo nimesoma madrassa baadae ukristo mwisho nikaacha kabisa je nitahesabika kama shetani?
Imagine badala afanywe rafiki? anyway leo sina hata mood ya hizi mamboKwa nini umuogope mungu ambaye anadai kuwa yeye ni mwema na mwenye upendo? Hapa ndipo nilipopalenga nilipoanzisha Uzi.
min -me.
Mwaka jana mwanzoniHapana. Mara yako ya mwisho kwenda kwenye nyumba ya ibada ni lini?
Yeye anaogopwa kama ukoma.Imagine badala afanywe rafiki? anyway leo sina hata mood ya hizi mambo
Kumbe mungu yumo humu atatype muda si mrefu kujibu swali tunasubiri
Huyu atakuwa amelala fofofo.Kumbe mungu yumo humu atatype muda si mrefu kujibu swali tunasubiri
Hudhuria mkuu kama ni kitu unachoamini na kinakupa amani. Usijali kuhusu watu. Pia kama huamini unaweza ukahudhuria tu ukutane na watu mpige stori...Mwaka jana mwanzoni
Mwez 2
Kufunga nini😂Yeye anaogopwa kama ukoma.
Mkuu kapumzike kidogo maana umechoka. Labda kwa sababu ulifunga.
kigagula ni soo! night kali umelala unakoroma mtu atakuchapa na usinga plus malibwata. Sio kweli, bora seran mwenye hofu ya Mungu ataniamsha tufanye maombi.Kigagula hakina hofu ya Mungu 😃
Haya sasa ndo maneno. Kufunga kwangu ni mwiko.Kufunga nini😂
Labda nishinde njaa kwa kukosa maokoto
Hivyo vingine ni ubatili
But sina maana wanaofunga wanakosea wapo sahihi kwa imani yao🙏