Eti, "natafuta mke/mume mwenye hofu ya mungu", nyambafu!

Siamini mkuu ndio maana siendi
Kama ni story ikitokea nikawiwa nitaenda ila sasa story zita balance?
Sio kwamba wote wanaohudhuria wanaamini kwa 100%

Dini ni jukwaa muhimu, watoto wanapata malezi pale, ndoa zinafungwa, tunachangiana kwenye shida nk.

Kwahiyo hata kama huamini unaweza kwenda tu ili upate haya manufaa mengine.
 
Sio kwamba wote wanaohudhuria wanaamini au wanaamini kwa 100%

Dini ni jukwaa muhimu, watoto wanapata malezi pale, ndoa zinafungwa, tunachangiana kwenye shida nk.

Kwahiyo hata kama huamini unaweza kwenda tu ili upate haya manufaa mengine.
Oooh,kumbe ok
Hapo kwa watoto kama inakuja
Kwenye ndoa huko simo nitajioa
Kwenye kuchangiana hiyo inavutia

Asante mkuu wa mawaidha yakoπŸ™
 
Sio kwamba wote wanaohudhuria wanaamini kwa 100%

Dini ni jukwaa muhimu, watoto wanapata malezi pale, ndoa zinafungwa, tunachangiana kwenye shida nk.

Kwahiyo hata kama huamini unaweza kwenda tu ili upate haya manufaa mengine.
Mara nyingi watu tunaenda kwa sababu hizi na nyinginezo, ila swala la dini, imani na Mungu ni very complicated, huenda ni viini macho tu wala havina msingi wowote.
 
❀️
 
Atapata single father waendeleze walipoishia.

Mfano ikitokea nikawa single father, siwezi kuoa binti mbichi, nitatafuta mmama mwenye mtoto/watoto tuendelee tulipoishia.
Aaah hapo sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…