Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Ndio kauli zao hizo wakishamalizana na kila kitu. Hauwezi kusikia kauli kama hizo zinatoka kwa mwanamke wa miaka 18-24. Mara zote hizo kauli zinatoka kwa hawa wastaafu wa 30+Na unamkuta ni single mothers Wa watoto wawili, kila mtoto na baba ake 😂
Sasa cjui yeye alikuwa hana hofu ya Mungu kabla ya kuzaa kama mbwa
Ukisikia hiyo kauli ujue anatafutwa nice guy wa kuuziwa gazeti jioni
Hahaha 😂, mstaafu anakwenda kupumzika, siyo?Ukisikia hiyo kauli ujue kuna nice guy anaelekea kuuziwa mbuzi kwenye gunia
Kwakweli mimi nitakuamsha tu tuanze kukemea mpaka mwenye nyumba atufukuze😆kigagula ni soo! night kali umelala unakoroma mtu atakuchapa na usinga plus malibwata. Sio kweli, bora seran mwenye hofu ya Mungu ataniamsha tufanye maombi.
Umeona uniseme sio🙁 kwahiyo zinibadilishe niweje?Hakuna mkuu. Unakuta mwanamke anahudhuria ibada kweli kweli(kwa hiari na kwa bashasha) lakini hazimbadilishi!View attachment 3558349
Sasa mi nimefanyaje mkuu😏Kumbe ni huyu mwanetu....😂😂
Mpk nimecheka!!
Dah haya bhana
Kwendeni ukoo mmbwaaa😏Hahaha 😂, mstaafu anakwenda kupumzika, siyo?
Kwani una mienendo mibaya?Umeona uniseme sio🙁 kwahiyo zinibadilishe niweje?
Hmm hapana!!Kwani una mienendo mibaya?
PumbafuHahaha 😂, mstaafu anakwenda kupumzika, siyo?
Njoo kapumzike kwanga, si unajua sina tabu miye!Pumbafu
Wewe mguu moja ndani mwingine nje! Mnafique!! Unaanzisha ugomvi unapotea zichapwe! kama shetani anavyotuma watu kuzini wakifumaniwa anakaa pembeni kuangalia unavyodhalilika😏Njoo kapumzike kwanga, si unajua sina tabu miye!
Basi mkuu wewe huna haja ya kubadilika. Subiri kuingia mbinguni tu.Hmm hapana!!
Wala siko hivyo. Ni hofu yako tu.Wewe mguu moja ndani mwingine nje! Mnafique!! Unaanzisha ugomvi unapotea zichapwe! kama shetani anavyotuma watu kuzini wakifumaniwa anakaa pembeni kuangalia unavyodhalilika😏
Hakuna malaika hapa duniani kuna dhambi nyingi tu unazoweza kutenda mbali na uzinzi! Hata kusema uongo, kuchukia jirani yako, kushuhudia uongo! n.k… sasa ukisema moja kwa moja mbinguni utakuwa umenitakasa sana!Basi mkuu wewe huna haja ya kubadilika. Subiri kuingia mbinguni tu.
Ngoja tuone..Wala siko hivyo. Ni hofu yako tu.