Eti ni kwanini ndani ya BIBLIA hakuna simulizi za utani Wala mzaha, tunapata fundisho Gani?

Eti ni kwanini ndani ya BIBLIA hakuna simulizi za utani Wala mzaha, tunapata fundisho Gani?

Hapana, lakini tukumbuke walikuwa ni binadamu pia kwahiyo waliishi kama binadamu wengine,

Sitaki kuamini maisha yao yote yalijengwa kwenye uSerious muda wote, hata kama hawatanii wao basi walitaniwa na kufurahi maisha yakaendelea.
Inawezekana kufurahi bila kutaniana na kusemana Kwa mizaha.
 
Mwanzo 32: 22-23
Jacob anamlamba mwereka 'Mungu' usiku mzima mpaka anaomba pooh!

Mungu anaomba kheri kwa sababu mwanga wa jua unataka kujitokeza!

Huu kama sio mzaha ni Nini?
 
Mwanzo 32: 22-23
Jacob anamlamba mwereka 'Mungu' usiku mzima mpaka anaomba pooh!

Mungu anaomba kheri kwa sababu mwanga wa jua unataka kujitokeza!

Huu kama sio mzaha ni Nini?
Huo Si Mzaha. Ni reality
 
Huo Si utani,

Nothing is impossible with God,

Lisilowezekana Kwa WANADAMU, Kwa Mungu kinawezekana.

Ngamia anaweza kupenya ktk TUNDU la sindano Mungu akitaka iwe Inakuja, kama ambavyo Bikra alichukua mimba na akazaa mwana.
Lakini hakupita na hajawahi kupita so this is a joke 🤣.
 
Salaam,Shalom!!

Enyi Wana wa Mungu msomao BIBLIA, ni wapi umewahi kusoma simulizi yoyote yenye utani au mzaha?

Yaani ukakuta Mungu akimtania Nabii wake, au Nabii alifanya mzaha Kwa wafuasi wake?


Hii mizaha na utani wafanyayo watumishi wa Mungu wa Leo wakiwa madhabahuni wanaitoa wapi?

Wana wa Mungu mnapata wapi ujasiri wa kutaniana na kufanyiana mizaha, wapi mmejifunza haya, mmesoma andiko lipi?

Karibuni 🙏
Hao wafanya utani wanae mungu wao
 
Una maanisha hawa au ?
downloadfile.jpg
 

Attachments

  • downloadfile.jpg
    downloadfile.jpg
    271.3 KB · Views: 2
Huo Si Mzaha. Ni reality
Ndugu unamchukulia Mungu kama "babu" hivi!

Mungu huyu huyu muweza wa yote Muumba mbingu na ardhi afanye drama za namna hiyo?

Kisha aogope mwanga aliouumba mwenyewe?

Ndugu zangu tuweni serious kidogo!
 
Wanasema wangeandika vyote billiards isingetosha ila Maria na magdalena walivyokkutana wakiwa wajawazito vitoto vilicheka tumboni anyway sina uhakika
Vitoto viliruka Kwa furaha,

Hapo hakuna utani Wala mzaha, ni furaha.
 
Back
Top Bottom