Eti ni kwanini ndani ya BIBLIA hakuna simulizi za utani Wala mzaha, tunapata fundisho Gani?

Eti ni kwanini ndani ya BIBLIA hakuna simulizi za utani Wala mzaha, tunapata fundisho Gani?

Wewe huoni Kaini alipoulizwa na Mungu ndugu yako Abel yuko wapi?

Kaini akamjibu Mungu kwani mi ndo Mlinzi wa ndugu yangu?

Sasa wewe huoni hapo ulikuwa ni utani😁

Unamjibuje Mungu hivyo😀
 
Wewe huoni Kaini alipoulizwa na Mungu ndugu yako Abel yuko wapi?

Kaini akamjibu Mungu kwani mi ndo Mlinzi wa ndugu yangu?

Sasa wewe huoni hapo ulikuwa ni utani😁

Unamjibuje Mungu hivyo😀
Huo Si utani, ni UONGO.

Tofautisha mambo hayo.
 
Zaburi 1:1
Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha.

Kwa Muumba hakuna kitu kinaitwa utani, yeye hufanya jambo kwa kusudi au kumaanisha, ukiweka utani au mzaha utapata uongo(hila) ambao ndio kilele cha shetani (joka).
 
Back
Top Bottom