Zaburi 1:1
Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha.
Kwa Muumba hakuna kitu kinaitwa utani, yeye hufanya jambo kwa kusudi au kumaanisha, ukiweka utani au mzaha utapata uongo(hila) ambao ndio kilele cha shetani (joka).