Eti ni kweli wadada humu tumepauka?

Eti ni kweli wadada humu tumepauka?

Hzi kelele za wanaume wanasema eti yafuatayo.
1. Tunasura za baba zetu
2. Tumepauka
3. Tunanjaaa
4. Tumezeeka
5. Wengi ni single mom

Kama ndio hivyoo wenye nazo mjitokeze mtusupport ili tusiwe na hivyo viashiria vya njaa
Picha?
 
Kwakweli[emoji847],, maana hapa nilipo nimebana mbavu zangu na mkanda zisije zikachomoka[emoji23][emoji23][emoji23]

Jirani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119] umenishinda
 
Hzi kelele za wanaume wanasema eti yafuatayo.
1. Tunasura za baba zetu
2. Tumepauka
3. Tunanjaaa
4. Tumezeeka
5. Wengi ni single mom

Kama ndio hivyoo wenye nazo mjitokeze mtusupport ili tusiwe na hivyo viashiria vya njaa
Hebu weka picha
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] maake kwanza nichekeeeee

Sasa dada Maua ungeweka picha yako kusindikiza uzi ili wajue km hatupo hivyo
😂😂😂😂Shem bhn mwambie kama maharage ya sumbawanga au lah !
 
Hzi kelele za wanaume wanasema eti yafuatayo.
1. Tunasura za baba zetu
2. Tumepauka
3. Tunanjaaa
4. Tumezeeka
5. Wengi ni single mom

Kama ndio hivyoo wenye nazo mjitokeze mtusupport ili tusiwe na hivyo viashiria vya njaa

Hapana, nyie ni watu wa Muhimu sana kwetu Kaka zenu, Mungu awabariki, kuwatunza na kuwapa hekima muendelee kutulea, tunawahitaji wote, wa aina zote na status zote.
 
Hzi kelele za wanaume wanasema eti yafuatayo.
1. Tunasura za baba zetu
2. Tumepauka
3. Tunanjaaa
4. Tumezeeka
5. Wengi ni single mom

Kama ndio hivyoo wenye nazo mjitokeze mtusupport ili tusiwe na hivyo viashiria vya njaa
Ni kweri Kabisa na Mwenyekiti Wenu ni Faizafoxy
 
Back
Top Bottom