Eti ni kweli wadada humu tumepauka?

Eti ni kweli wadada humu tumepauka?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na shangazi ana vitu ambavyo watoto hawana, we jaribu mmoja utakuja leta ushuhuda
Try new things ebooo!πŸ˜‚πŸ˜‚
koneksheni pleaseee πŸ˜‚ πŸ˜‚
hata wewe si ni shangazi?
 
Hzi kelele za wanaume wanasema eti yafuatayo.
1. Tunasura za baba zetu
2. Tumepauka
3. Tunanjaaa
4. Tumezeeka
5. Wengi ni single mom

Kama ndio hivyoo wenye nazo mjitokeze mtusupport ili tusiwe na hivyo viashiria vya njaa
1.Wengi ni single mother
2.Umri umeenda sana 32 and above
 
Kwahiyo hutaki kuwa na sura ya baba yako aliyekuzaa??
Mimi nafanana na baba sana hadi weusi , ufupi, nywele ndefu , macho yakubembeleza miguu ya bia , kucheka , kucha, yaani kila kitu kasoro sasa ni mwanaume baba yangu alikuwa handsome boy , sana nikatokea handsome girl ila sasa tunasemwa sana
 
Fanyen kazi mpate pesa il angalau hata kama sio wazur bas pesa itakufanya uvutie na kua mrembo.
 
Back
Top Bottom