Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Bank ndo kila kitu bhn hebu weka madorali hapo watu wapagaweee
Bank haiwezekani maana ni maπŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅πŸ’²πŸ’²πŸ’²πŸ’²πŸ’²πŸ’² hasa. Usije kamatwa wakajua ni mtakatishaji.
 
Wapo na wanatoa ila wanaangalia wanampa nani.. unaweza sema wewe hukupewa ila mwenzio akapewa bila kuomba.
sasa kwahiyo avatar nasubiria nini " mpaka niombwe" natuma tu wallahi" hata kama ndio ilikuwa hela ya kununua nyama nyumbani " siku moja moja " watoto wakila matembele sio mbaya" nasikia huwa yanasaidia kuongeza damu
 
Hahahahahaaa.. kutuma hela kisa avatar kutakucost mkuu. Maana utakuja kuchek yule mwenye avatar na avatar ni vitu viwili tofauti
 
Kama upo na shida serious njoo uchukuwe 500k now Niko hapa Upanga!......NB:Be serious acha usichana!
 
Hii ni mbinu mbadala isiyokuwa na mawaa badala ya ile iliyozoeleka ya "ile pesa tuma katika namba hii" [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…