mosabiy
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 2,521
- 1,927
Bank haiwezekani maana ni maπ΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π²π²π²π²π²π² hasa. Usije kamatwa wakajua ni mtakatishaji.Bank ndo kila kitu bhn hebu weka madorali hapo watu wapagaweee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bank haiwezekani maana ni maπ΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π²π²π²π²π²π² hasa. Usije kamatwa wakajua ni mtakatishaji.Bank ndo kila kitu bhn hebu weka madorali hapo watu wapagaweee
Wapo na wanatoa ila wanaangalia wanampa nani.. unaweza sema wewe hukupewa ila mwenzio akapewa bila kuomba.
Anko Juju unasalimiwa na LiFact.
[emoji1474][emoji8]
Anko Juju unasalimiwa na Li
Hili jambo la kunitoboa macho limekua sugu. Anapenda kasema. HahahaaNaye mwambie nampa hi. Aache na utundu. Aache kukutoboa macho hahahaa.
Hivi naye anazipenda Jordanβs eh?
sasa kwahiyo avatar nasubiria nini " mpaka niombwe" natuma tu wallahi" hata kama ndio ilikuwa hela ya kununua nyama nyumbani " siku moja moja " watoto wakila matembele sio mbaya" nasikia huwa yanasaidia kuongeza damuWapo na wanatoa ila wanaangalia wanampa nani.. unaweza sema wewe hukupewa ila mwenzio akapewa bila kuomba.
Hahahahahaaa.. kutuma hela kisa avatar kutakucost mkuu. Maana utakuja kuchek yule mwenye avatar na avatar ni vitu viwili tofautisasa kwahiyo avatar nasubiria nini " mpaka niombwe" natuma tu wallahi" hata kama ndio ilikuwa hela ya kununua nyama nyumbani " siku moja moja " watoto wakila matembele sio mbaya" nasikia huwa yanasaidia kuongeza damu
sio mbaya" nitahesabu kwamba nimeangusha tuHahahahahaaa.. kutuma hela kisa avatar kutakucost mkuu. Maana utakuja kuchek yule mwenye avatar na avatar ni vitu viwili tofauti
Hiyo hela peleka hospital kuna watu wameshindwa kulipa matibabu na chakula.Kama upo na shida serious njoo uchukuwe 500k now Niko hapa Upanga!......NB:Be serious acha usichana!
Nakuja kumchukuliaKama upo na shida serious njoo uchukuwe 500k now Niko hapa Upanga!......NB:Be serious acha usichana!
Hahahahaaa. Basi naomba laki moja ya vochasio mbaya" nitahesabu kwamba nimeangusha tu
Hii ni mbinu mbadala isiyokuwa na mawaa badala ya ile iliyozoeleka ya "ile pesa tuma katika namba hii" [emoji23][emoji23]Sitaki kuamini kuwa humu wanaume hamna madorali eti?
Hahahah mbona mimi najua kuna watu wanapesa na madorali lakini napata malalamiko kuwa hamna pesaa?
Hebu watokeee member wa5 wa kiume wanithibitishie muamala kwenye account yangu ya bank leooo niamini kweli Jf kuna matajiri wengi na hamna mbwembwe.
Najua wale wenye maneno mengi hata hawamiliki Account za Benki hata chapchap ya NMB hawana.
Leo tunapinga kwa vitendo siyo maneno jamani mimi siwezi kuwasifia mna madorali wakati hata sina uthibitisho wa muamala wa madorali.
Msipothibitisha basi wanaume wa Jf ni makapuku sitaki kuamini na nyie mnakubali hamna helaa aiseee hebu nikomesheni kwa kunitumia madorali ili watu wajue matajiri mapedesheee yapo Jf.
Najua matajiri wapo wengi Jf muwe na jumapili njema hakika msipothibitisha kuanzia leo wanaume wote wa Jf ni makapuku kasoro mganga wangu Jr.
Hahahahaaa. Basi naomba laki moja ya vocha
Nitalipa nikipendaHiyo hela peleka hospital kuna watu wameshindwa kulipa matibabu na chakula.