Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Afu sijui kwanini sijui...

Hii thread ya Demiss naona imenipa mizuka ya kuhonga isivyo kawaida... someone anishike wadau...si kwa midadi hii!! Naweza kuanza kuzitoa kweli mjue!!!
Nipe bhn mkwanja huoo ngoja nichocheee midadi nasikia eti huna hela kweli hayo hebu nikomeshe kwa kunijazia vocha ya buku 5
 
Weka number ya simu, au tunakutumia kwa jf akaunt?
 
Nakutumia account no pm
Karibu, ila nitatuma kwa njia ya wakala kwa kuhofia isije kuwa wewe ni wasiojulikana, tena nitaenda kuituma eneo tofauti kabisa na ninapoishi.
 
Karibu, ila nitatuma kwa njia ya wakala kwa kuhofia isije kuwa wewe ni wasiojulikana, tena nitaenda kuituma eneo tofauti kabisa na ninapoishi.
Wala usjali ni wewe tu
 
Nipe bhn mkwanja huoo ngoja nichocheee midadi nasikia eti huna hela kweli hayo hebu nikomeshe kwa kunijazia vocha ya buku 5
Watoto wa chuo ndo wanahongana vocha.. toa taarifa zifuatazo nitulize mizuka:
Account Name
Account Number
Name of your Banker
Swift code

Pia mwondolee hustle my banker kwa kunitumia correspondence bank anayeweza kupitisha from Citibank. Hurry... tuma hizo taarifa mara moja! Offer expires after 30 minutes! Mie sio mtu wa kutuma za madafu kama Malcom Lumumba na hizo MPesa zake sijui takataka gani sijui!!!
 
Nimechelewa au bado nilikuwa njiani kwendaa kazini bhn ndo naingia jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…