Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe bhn mkwanja huoo ngoja nichocheee midadi nasikia eti huna hela kweli hayo hebu nikomeshe kwa kunijazia vocha ya buku 5Afu sijui kwanini sijui...
Hii thread ya Demiss naona imenipa mizuka ya kuhonga isivyo kawaida... someone anishike wadau...si kwa midadi hii!! Naweza kuanza kuzitoa kweli mjue!!!
Karibu, ila nitatuma kwa njia ya wakala kwa kuhofia isije kuwa wewe ni wasiojulikana, tena nitaenda kuituma eneo tofauti kabisa na ninapoishi.Nakutumia account no pm
Watoto wa chuo ndo wanahongana vocha.. toa taarifa zifuatazo nitulize mizuka:Nipe bhn mkwanja huoo ngoja nichocheee midadi nasikia eti huna hela kweli hayo hebu nikomeshe kwa kunijazia vocha ya buku 5
Nimechelewa au bado nilikuwa njiani kwendaa kazini bhn ndo naingia jfWatoto wa chuo ndo wanahongana vocha.. toa taarifa zifuatazo nitulize mizuka:
Account Name
Account Number
Name of your Banker
Swift code
Pia mwondolee hustle my banker kwa kunitumia correspondence bank anayeweza kupitisha from Citibank. Hurry... tuma hizo taarifa mara moja! Offer expires after 30 minutes! Mie sio mtu wa kutuma za madafu kama Malcom Lumumba na hizo MPesa zake sijui takataka gani sijui!!!
Bado dakika 25...Nimechelewa au bado nilikuwa njiani kwendaa kazini bhn ndo naingia jf
Likarumanzira linaweza kutusha mshipa mzeeTunamteka na hana pa kuripoti!..