Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Mimi ninazo tu zangu z kutumia siyo za kutumia na wadangaji kama "demise".

Yabaki mapenzi tu, tusileteane ujambazi...! Unapenda pesa zangu nami nazipenda pia...

" sasa mwanaume wa hivi wa nini??

Ndivyo mnavyosema..

Baki na hamu zako...

Ata panton ina staff...

Unamwambia nani??...
Wacha maneno weka madorali
 
Haina haja ya uzi, anayetaka aende PM tu!
Akija anafanya yafuatayo:
1.Unataja jina lako kamili,
2.Unataja marital status yako,
3. Unaweka na picha yako inayoonyesha mwili mzima.

Unatumiwa dorali mara moja, Mimi, Wick na chige tutafadhili hiyo Charity Event
Hahahaha nimeshajua unataka kunifanyia utapeli[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]

Hahahah hupati kitu hapa weka dorali niweke picha
.
 
Wacha maneno weka madorali
Value for money pia inazingatiwa[emoji661][emoji661][emoji658][emoji658][emoji658][emoji676][emoji676][emoji676][emoji677][emoji677][emoji677][emoji662][emoji662][emoji652][emoji652][emoji652][emoji652]
 
Aisee ila leo sitaki kuamini unajitetea kiasi hikii
 
Hahahaha nimeshajua unataka kunifanyia utapeli[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]

Hahahah hupati kitu hapa weka dorali niweke picha
.
Mimi siwezi kukutapeli kabisa mdogo wangu,
Maana unaweka kwenye PM ya Waziri wa Kaskazini siyo mimi,
Mimi kazi yangu ni kusimamia Charity Event ili kuzuia wewe usitapeliwe.
 
From today ndiyo ujue, siko tena mji wa madafu come chugga ukaonje midola achana na dola za kalimanzila za zimbabwe..
Hahahaha nitaachaje kwa mfano na ninazipenda haahahah
 
Back
Top Bottom