Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
- Thread starter
- #61
Wacha maneno weka madoraliMimi ninazo tu zangu z kutumia siyo za kutumia na wadangaji kama "demise".
Yabaki mapenzi tu, tusileteane ujambazi...! Unapenda pesa zangu nami nazipenda pia...
" sasa mwanaume wa hivi wa nini??
Ndivyo mnavyosema..
Baki na hamu zako...
Ata panton ina staff...
Unamwambia nani??...