Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Wew si mke wa mganga kabsaa vikuku vyeusi mara vyeupe anavyoviagiza huwa hutosheki navyo
 
Wewe mtoto angalia shule yako,kushinda mitandaoni na kisimu chako cha mchina kutwa unatema pumba haitokusaidia kitu,tulia ufundishwe japo upate akili ya kuvukia barabara,

Na huko mbeleni unapoelekea kama hutobadilika ndio utakua omba omba zaidi,usijifanye eti umetuma coz hili ni jukwaa la chit-chat,hivyo ndivyo ulivyo,

Kua makini sana usije ukasumbua watu uzeeni mwako.
 
Ngoja tuone...

Awamu hii watu wanaficha pesa zao...

Ukionesha umwamba uchunguzi unaanza...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom