wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Ok nimekuelewaSitak maneno bhn leo nataka vitendo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok nimekuelewaSitak maneno bhn leo nataka vitendo
Nimeamini kweli wewe old fashion..!Hahahaha nitaachaje kwa mfano na ninazipenda haahahah
Ngoja nile nguna kwanza hapaIfafanue
Basi utanitumia, baadae muamala wako utathibitishaIpo sanaaaaa
Yaani ana account Llyods Bank, unaifahamu wewe ???
Hilo ni bonge la Bank kongwe liko Uingereza....
Weka namba yako basi upate msaada wa chapchap
Hahahaha wewe very janjaful,Mbn mwenyewe kasema nitume account namba tu
Sasa ndio pamekua chaka rasmi la .....mpk keroHuu mtandao umeharibiwa saana.
Sasa tunaogopa hata kufungua nyuzi tukiwa na familia maana utaambiwa upo Badoo.Sasa ndio pamekua chaka rasmi la .....mpk kero