Eti ninyi waoaji, mnapotaka kuoa huwa mnazingatia kigezo kipi kati ya Uzuri, akili na kipato cha mwanamke?

Eti ninyi waoaji, mnapotaka kuoa huwa mnazingatia kigezo kipi kati ya Uzuri, akili na kipato cha mwanamke?

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Kuna maoni mseto katika kila kigezo.

Uzuri unaweza kutoweka kwa magonjwa ama ajali.

Akili inaweza isifanye kazi kutokana na mazingira na jiografia ya eneo anapoolewa.

Kipato chake kinaweza kutoweka kwasabb zozote zile.

Ikiwa kila kigezo kina shida zake, ni kipi basi mtu anapaswa kukizingatia ili kumpata mke sahihi??
 
Ni sheria, utaratibu uliyopo tu
 
Asilimia 80% wanawake wa moahi wana matumbo mawili
FB_IMG_17028211036380164.jpg
 
Kigezo ni kimoja tu. Exactly.
 
Mwanamke hana dini. Hata akiwa singasinga anapaswa kubadili ili afuate ya mwanaume
Dini ndo kitu pekee kitamfanya smart guy km mm nione mwanamke awez badili attitude kwa ajili ya ndoa
 
akili ni kitu ambacho ni permanent akili haiwezi kumezwa na mazingira hata siku moja mwanamke akishakua na akili ana sifa kubwa sana ya kuolewa kitu cha pili Dini ni moja ya sababu kubwa ya mwanamke kuolewa au kutokuolewa
 
AKili ya mwanamke factor kubwa sana

Kuna mwanamke unaweza kutana nae siku chache tu. Ukatamani awe ubavu wako. sababu kuu akili yake.. yaani hoja zake na jinsi anavyofanya maamuzi ya mambo yanayomzunguka.

Akili ya mtu huwa haibadiliki.. labda apate magonjwa ya akili.

Ni raha sana kuishi na mtu mwenye akili
 
Dini mdo kitu pekee kitamfanya smart guy km mm nione mwanamke awez badili attitude kwa ajili ya ndoa
Kuna ma-pretender wa kufa mtu ktk eneo hilo. Hutaweza kuwajua washika dini wa kweli
 
AKili ya mwanamke factor kubwa sana

Kuna mwanamke unaweza kutana nae siku chache tu. Ukatamani awe ubavu wako. sababu kuu akili yake.. yaani hoja zake na jinsi anavyofanya maamuzi ya mambo yanayomzunguka.

Akili ya mtu huwa haibadiliki.. labda apate magonjwa ya akili.

Ni raha sana kuishi na mtu mwenye akili
Tatizo wenye akili hawakawii kupiga kibuti. Kwasbb ili mwanamke aweze kudumu kwenye ndoa lazima awe anayaogopa maisha. Lkn mwenye akili hana hofu
 
Back
Top Bottom