Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha,dah aiseeAsilimia 80% wanawake wa moahi wana matumbo mawili
View attachment 2849328
Kuna mambo huwa mnakwepa sana kuyasema ambayo ni muhimu zaidi katika ndoa, tena ni kuliko hayo yote uliyoyaorodhesha hapo juu.Kuna maoni mseto katika kila kigezo.
Uzuri unaweza kutoweka kwa magonjwa ama ajali.
Akili inaweza isifanye kazi kutokana na mazingira na jiografia ya eneo anapoolewa.
Kipato chake kinaweza kutoweka kwasabb zozote zile.
Ikiwa kila kigezo kina shida zake, ni kipi basi mtu anapaswa kukizingatia ili kumpata mke sahihi??
Imeandikwa......mume amende mke lkn mke amtii mume. Kwahiyo mke hapaswi kupenda, anatakiwa kutii kama jeshini vileKuna mambo huwa mnakwepa sana kuyasema ambayo ni muhimu zaidi katika ndoa, tena ni kuliko hayo yote uliyoyaorodhesha hapo juu.
1. Mke ampende sana Mme.
2. Mme ampende sana mke
3. Kuzingatia kilicho kwenye 1 na 2
Ova
😂😂
wazee wenzio tushaelewa,
NB: akili mtatumia zako..!
Siku ukikua utajifunza utii maana yake nini. Nakusubiri ukue kijana.Imeandikwa......mume amende mke lkn mke amtii mume. Kwahiyo mke hapaswi kupenda, anatakiwa kutii kama jeshini vile
Kuoa Moshi kunataka moyo aisee, unakuta mwanamke ana shepu nzuri lakini sura ya ng'ombe wao au ana sura nzuri ila shepu ama makalio ni kama kapigwa pasi. Nadra sana kupata demu wa Moshi aliyekamilika kimaumbile.Asilimia 80% wanawake wa moahi wana matumbo mawili
View attachment 2849328
Mwanamke yeyote ambaye ni mzuri na mtamu kitandani huwa ni nadra sana kukuta siyo mhuni. Maana kwa siku anatomgozwa na wanaume 10. Siku akimtunuku msela hiyo tamu yake, msela anakuwa mchepuko wa kudumu kwasabb ya utamu wake.Sifa za mke
--awe mzuri wa muonekano
--awe mtamu kitandani
--awe sio muhuni.
Mambo ya mwanamke sio sura wala sio utamu wake kitandani ndy hayo yanasababisha mwanaume kutafuta vimada huko nje.
Asilimia 80% wanawake wa moahi wana matumbo mawili
View attachment 2849328
Muangaliage na mambo mengine.Mwanamke heshima
Kama sio kukinai basi kuna kuvimbiwa.Sifa za mke
--awe mzuri wa muonekano
--awe mtamu kitandani
--awe sio muhuni.
Mambo ya mwanamke sio sura wala sio utamu wake kitandani ndy hayo yanasababisha mwanaume kutafuta vimada huko nje.
Mwanamke hakuumbwa kwa ajili ya kupenda bali kumtii mumewe..Kuna mambo huwa mnakwepa sana kuyasema ambayo ni muhimu zaidi katika ndoa, tena ni kuliko hayo yote uliyoyaorodhesha hapo juu.
1. Mke ampende sana Mme.
2. Mme ampende sana mke
3. Kuzingatia kilicho kwenye 1 na 2
Ova
Sijui watu watajua lini hili?Kuna mambo huwa mnakwepa sana kuyasema ambayo ni muhimu zaidi katika ndoa, tena ni kuliko hayo yote uliyoyaorodhesha hapo juu.
1. Mke ampende sana Mme.
2. Mme ampende sana mke
3. Kuzingatia kilicho kwenye 1 na 2
Ova