Kwakweli huyo mke toka Moshi inahitajika maombi kumvumiliaAsilimia 80% wanawake wa moahi wana matumbo mawili
View attachment 2849328
Kipi hicho???Kigezo ni kimoja tu. Exactly.
Ndiyo maana ndoa zinavunjika hovyo. Kwasbb tako likiingiliwa na fungus tu penzi linaingia shubiriHawaezi kwambia ukweli Mkuu ila wengi wanaangalia tako
Mwanamke hana dini. Hata akiwa singasinga anapaswa kubadili ili afuate ya mwanaumeDini
Dini ndo kitu pekee kitamfanya smart guy km mm nione mwanamke awez badili attitude kwa ajili ya ndoaMwanamke hana dini. Hata akiwa singasinga anapaswa kubadili ili afuate ya mwanaume
Kuna ma-pretender wa kufa mtu ktk eneo hilo. Hutaweza kuwajua washika dini wa kweliDini mdo kitu pekee kitamfanya smart guy km mm nione mwanamke awez badili attitude kwa ajili ya ndoa
Kuna ma-pretender wa kufa mtu ktk eneo hilo. Hutaweza kuwajua washika dini wa kweli
Tatizo wenye akili hawakawii kupiga kibuti. Kwasbb ili mwanamke aweze kudumu kwenye ndoa lazima awe anayaogopa maisha. Lkn mwenye akili hana hofuAKili ya mwanamke factor kubwa sana
Kuna mwanamke unaweza kutana nae siku chache tu. Ukatamani awe ubavu wako. sababu kuu akili yake.. yaani hoja zake na jinsi anavyofanya maamuzi ya mambo yanayomzunguka.
Akili ya mtu huwa haibadiliki.. labda apate magonjwa ya akili.
Ni raha sana kuishi na mtu mwenye akili
😂😂Kigezo ni kimoja tu. Exactly.
Unajikuta tu usha-date na chiziHayanaga muongozo