Wasomi wa Tz ni Vilaza Waliochangamka, Ujiulizi Serikali ina wasomi ila shughuri nyingi za Serikali zinakufa kizembe. Wasomi ni Maboya walio kariri notes za kufaulu mitihani uko madarasani.Wasomi wa tz hawana mbinu za kutatua matatizo
Ni documents tu nyingi Zaidi ya hapo umkute msomi wa bongo hasubuhi kwenye magaazeti chakwanza hanunui gaazeti yeye anachambua tu vichwa vya habari
Another innocent neck carrying a rotten pumpkin headWasomi wa tz hawana mbinu za kutatua matatizo
Ni documents tu nyingi Zaidi ya hapo umkute msomi wa bongo hasubuhi kwenye magaazeti chakwanza hanunui gaazeti yeye anachambua tu vichwa vya habari
😂😂😂😂Just imagine umeenda hospital doctor anajivuuta baada ya hapo anaandika mcharazo ambao ata ukienda pharmacy wanashindwa kuelewa ni Panadol au Diclofenac
Wasomi H!Wasomi wa tz hawana mbinu za kutatua matatizo
Ni documents tu nyingi Zaidi ya hapo umkute msomi wa bongo hasubuhi kwenye magaazeti chakwanza hanunui gaazeti yeye anachambua tu vichwa vya habari
Jamaa yuko na mumama.SSisi maprofesa tunaenjoyy mema ya nchii
View attachment 3437339
Huyu mdada anafanana na sister wangu nyie mbwa mshapita naeSSisi maprofesa tunaenjoyy mema ya nchii
View attachment 3437339
Nani kawapiga pichaSSisi maprofesa tunaenjoyy mema ya nchii
View attachment 3437339
Ukute aliyempiga picha alijua huyo jamaa atagombea kwenye kura za maoni,ili atumie silaha ya picha kummaliza kisiasa.Wajinga sana hawa.Huyu dada ana watoto,ndugu n.k.Nani kawapiga picha
Prof anabidi kufanya siasa Kama lipumbaProf alitakiwa kufanya nini ?
Maprof hawana pesa ya kuweka standby generatorProf anabidi kufanya siasa Kama lipumba