Eti umeme ukikatika kwangu na jirani yangu professor wa chuo kikuu pia umeme kwake unakatika 🤣🤣🤣

Eti umeme ukikatika kwangu na jirani yangu professor wa chuo kikuu pia umeme kwake unakatika 🤣🤣🤣

Ukute aliyempiga picha alijua huyo jamaa atagombea kwenye kura za maoni,ili atumie silaha ya picha kummaliza kisiasa.Wajinga sana hawa.Huyu dada ana watoto,ndugu n.k.
😄😄😄
 
Wasomi wa tz hawana mbinu za kutatua matatizo

Ni documents tu nyingi Zaidi ya hapo umkute msomi wa bongo hasubuhi kwenye magaazeti chakwanza hanunui gaazeti yeye anachambua tu vichwa vya habari
Wewe unakaa jirani na Professor wa Psychology na unataka akutatulie tatizo la umeme? Au upo karibu na Professor wa kiswahili halafu unataka akutatulie shida ya afya ya akili?

By the way, hata asiyesoma kuna matatizo anaweza kukutatulia. Ni suala la kumpata mtu sahihi kwa wakati sahihi kwenye issue sahihi. Mhuni wa mtaani anaweza kuja kukuondolea nyoka nyumbani kwako ambapo wewe ulikuwa unaogopa.
 
Kumtoa nyani porini sio kazi, kazi ni kumtoa unyani wake.
Wengi tunaenda shule kusoma sio kuelimika.
Elimu kwa muafrika inamsaidia kupata kazi ili apate mkate hayo mengine sio shida zake.
Rekebisha isomeke,"Kumtoa nyani porini sio kazi,kazi ni kutoa pori ndani ya akili ya nyani" 🤣🤣🤣🤣
 
Wewe unakaa jirani na Professor wa Psychology na unataka akutatulie tatizo la umeme? Au upo karibu na Professor wa kiswahili halafu unataka akutatulie shida ya afya ya akili?

By the way, hata asiyesoma kuna matatizo anaweza kukutatulia. Ni suala la kumpata mtu sahihi kwa wakati sahihi jeenye issue sahihi. Mhuni wa mtaani anaweza kuja kukuondolea nyoka nyumbani kwako ambapo wewe ulikuwa unaogopa.
Elimu ni kifungo Cha maisha
 
Back
Top Bottom