Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata waume zenu ma-secretary mbona wanawalaga maboss wa kike vile vile!
Ngoma inogile!:nono:
Yawezekana we ni mmoja wa wanaojiuliza maswali haya kutokana na mwamko mpya waliouanzisha wanakaya ama maboss wetu hasa wanapotoa ajira..jamaa yangu ameoa mke secretary wa kampuni moja maaruf sasa yule dada ameanza kurudi usiku kazi zimemelemea jaana nikiwa rose garden jamaa anasema mi wacha nilewe tu hivi hawa wake zetu masecretary wanaliwaga sana na maboss..nkamwambia sio wote wanaangalia kama amezeeka awamgusi kama kijana endelea kufanya maombi...nikaona anaenda ****** gafla akatuma msg jamani nilikuwepo..nikasema hivi jamani kwani mkiwa mnawaoa amjui ni masecretary na kama ni kazi zao kwa nini msiwaamini....???anyway mwenye mke secretary anawezatupa uzoefu kidogo nijue kijana ntamsaidiaje leo jion kumpa mawazo
Mwambie dawa sio kulewa bali atafuta mwanamke mwingine apata kupumzika vizuri! Kulewa does not help!
BTW: Ma-secretary "kuliwa" na Ma-boss ni jambo la kawaida sana hapa Bongo: Nenda Wizara na taasisi zote za serikali jaribu kudadisi utakuta kuwa 90-95% wana-kulana! Na most-of-them (Secretaries) either hawajaolewa au wamezaa out-of-wed: kwa lugha ya kwetu wanasema "kyeyombekeile".
Inategemea
- Jinsia ya boss
- Umri wamkeo na wa huyo boss
- Maadili yao wote waili
- Ana maboss wanagapi...maofisi mengi siku hizi secretary mmoja tu anatosha
Nimekusomaikitaka jibu la uraisi jiulize nini kilichokuleta hapa tamuuuuu!!!!!!!!!
1 wakorintho 6:9au hamjui ya kuwa wadhalimu awataurithi ufalme wa mungu...msidanganyike waasherati hawataurithi ufalme wa mungu wala waabuduo sanamu wala wazinzi wala wafiraji wala walawiti wala walevi wala watukanaji wala wanyanganyi;vers 13lakini mwili si kwa zinaa bali ni kwa bwana naye bwana ni mwiliv15je amjui ya kwamba viungo vyenu ni vya kristo na kwa nini mnavifanya viungo vya ukahabaver 16je amjui alieungwa na kahaba ni kahaba maana mmesema wale wawili mtakuwa mwili mmojver18ikimbieni zinaa kila dhambi aitendayomwanadamu ni nje ya mwili wake;ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe..au amjui yakuwamwili wenu ni hekalu la roho mtakatifu???mlieewa na mungu??na wala si mali yenu??maana mlinunuliwa kwa thamani basi mtukuzeni mungu ktika miili yenumungu ibariki jf
Siku hizi wababa tunahusika kutafuta houigelo make ukitafutiwa baya unararamika kuwa chakula ni kibichi. Ukipata miss hata akichemsha kupika we una mwagia masifa. Hapo wakuu, utaniambia, mama asipo kaa sawa anampiku.kwa raha zake na ndio maana tuna mabodigadi wanawake kwenye nyumba zetu(HOUSE GIRL) UNAJICHAGULIA TUHiii ni kwa hisani ya watu watandale
Siku hizi wababa tunahusika kutafuta houigelo make ukitafutiwa baya unararamika kuwa chakula ni kibichi. Ukipata miss hata akichemsha kupika we una mwagia masifa. Hapo wakuu, utaniambia, mama asipo kaa sawa anampiku.
Usiombe ukutane na secretari mwenye mauhusiano ya kingono na bosi wake huwa wana nyodo sana
siku hizi wababa tunahusika kutafuta houigelo make ukitafutiwa baya unararamika kuwa chakula ni kibichi. Ukipata miss hata akichemsha kupika we una mwagia masifa. Hapo wakuu, utaniambia, mama asipo kaa sawa anampiku.
inakuwaje pale bosi akiwa mwanamke na secretary ni mwanamume, uroda huwa unapatikana?Kwa technologia ya sasa kusafiri na secretary wa nini lakini?...ila kuna watu wanafurahia wake zao kusafirisafiri...zaidi ya per idems wanapata kauhuru na wao kujirusha bila bughudha
we sam si kwa hilo ; usiruhusu tena nasema usi.........hausigelo akatafutwe na mamsahibu.....................ohooo; mie kabla sijaoa nilimega mke wa mtu alikuwa anasindikizwa na hausigelo! Cjui unanipata hapo?