Eti wakuu hapa ungetumia njia gani ili unusuru hii mali

Mlango uko locked kwa ufunguo?

Kama mlango haujalockiwa kwa ufunguo ngoma inapitiliza mpaka chini, hivyo ili kuviokoa hapo uwahi mlango kwa kuulock kwa ufunguo halafu ondoa kioo kimoja hicho kipartition cha juu, pitisha mkono utoe sahani moja baada ya nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…