Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Unaongea kwasababu hayajakukutaKama ningekuwa mm napotezea then najisemea kimoyo moyo ,,mume nimepata.
Hata yakinikuta!mwanaume wa hivyo ni boraUnaongea kwasababu hayajakukuta
Sawa sawa.Hata yakinikuta!mwanaume wa hivyo ni bora
sasa kiongozi apo auoni kama utakuwa unaanzisha mashindano au?Ngoja na yeye siku aje condom imebaki kwenye papuchi tuone utakavyompongeza
Sawa maradhi hupeleki, je Mikosi na nuksi unayokwenza kuzoa huko, body to body treatment, kisses etc eboo🚮Eti wakuu mume aliyesahau kinga (kondomu) kwenye mfuko wa suruari yake ni wa kufokewa kweli?
Unarudi home mtu kaiona tu basi imeshakuwa nongwa anabwata siku nzima hadi majirani wanasikia.
Hivi wakuu huyu mume si wa kupongezwa huyu, maana anamaanisha anaijali familia yake hataki kuiletea maradhi au?
Sawa maradhi hupeleki, je Mikosi na nuksi unayokwenza kuzoa huko, body to body treatment, kisses etc eboo🚮
Vipi ikiwa the other way around, utampongeza?Eti wakuu mume aliyesahau kinga (kondomu) kwenye mfuko wa suruari yake ni wa kufokewa kweli?
Unarudi home mtu kaiona tu basi imeshakuwa nongwa anabwata siku nzima hadi majirani wanasikia.
Hivi wakuu huyu mume si wa kupongezwa huyu, maana anamaanisha anaijali familia yake hataki kuiletea maradhi au?
Bora wewe umeona. Watu ni wa ajabu sana kwa kushabikia ujinga halafu wanataka ndoa ziwe na amani.Kama hiz ndio akili za watu mlioko kwenye ndoa basi kazi ipo (KATAA NDOA KATAA KUCHANGANYIKIWA).
View attachment 3236330
KaziKweliKweli/JobTrueTrue