majam19
JF-Expert Member
- Nov 13, 2024
- 900
- 971
Sio anafoka lengo lake ni majirani wajue kuwa yupo salama na mumewe ni kidume anayejitambua anafundisha majirani Kwa njia ya sauti wawasisitize waume zao kutumia zana😆😆😆😆Eti wakuu mume aliyesahau kinga (kondomu) kwenye mfuko wa suruari yake ni wa kufokewa kweli?
Unarudi home mtu kaiona tu basi imeshakuwa nongwa anabwata siku nzima hadi majirani wanasikia.
Hivi wakuu huyu mume si wa kupongezwa huyu, maana anamaanisha anaijali familia yake hataki kuiletea maradhi au?