Eti wakuu mume aliyesahau kinga (kondomu) kwenye mfuko wa suruari yake ni kufokewa kweli?🤔

Eti wakuu mume aliyesahau kinga (kondomu) kwenye mfuko wa suruari yake ni kufokewa kweli?🤔

Eti wakuu mume aliyesahau kinga (kondomu) kwenye mfuko wa suruari yake ni wa kufokewa kweli?

Unarudi home mtu kaiona tu basi imeshakuwa nongwa anabwata siku nzima hadi majirani wanasikia.

Hivi wakuu huyu mume si wa kupongezwa huyu, maana anamaanisha anaijali familia yake hataki kuiletea maradhi au?
Sio anafoka lengo lake ni majirani wajue kuwa yupo salama na mumewe ni kidume anayejitambua anafundisha majirani Kwa njia ya sauti wawasisitize waume zao kutumia zana😆😆😆😆
 
aisee huyu ajengewe sanamu kabisa huyu na mola amjalie hitaji la moyo wake
Ameen . Wanawake wenye busara kama huyu walikuwa wengi enzi za babu zetu sahivi ni wachache mno

Wanawake wa sahivi wanataka kushindana na wanaume . Unyago uingizwe kwenye Mitala ya elimu
 
Ameen . Wanawake wenye busara kama huyu walikuwa wengi enzi za babu zetu sahivi ni wachache mno

Wanawake wa sahivi wanataka kushindana na wanaume . Unyago uingizwe kwenye Mitala ya elimu
kabisa kiongozi. hawa watu baadhi yao wabinafsi sana utafikiri wao ndo wamewaumba hao waume walionao🚮🚮
 
Back
Top Bottom