Eti wakuu mume aliyesahau kinga (kondomu) kwenye mfuko wa suruari yake ni kufokewa kweli?🤔

Huo ni usaliti kama usaliti mwingime,hakuna anayependa usaliti,totally disappointing.
 
Kuzini ni kuijali familia?

Haujasikia asilimia kubwa wanaotembea na condom mifukoni huwa ni showoff tu, wakipagawishwa kabla ya kupiga bao huzivua kwa hiari yao na kuzivugumiza huku wakitukana wake zao?

Ama wale wakomavu hujikuta mpira umepanda hadi kwenye kende, umepasuka kati kati ya mechi kwa sababu ya pupa, haujawahi kusikia ama kushuhudia?

Halafu kuna faida gani kuja kutuharibia siku ya wapendanao kwa kutuchumisha dhambi ya uzinzi wako sisi?
 
Sio anafoka lengo lake ni majirani wajue kuwa yupo salama na mumewe ni kidume anayejitambua anafundisha majirani Kwa njia ya sauti wawasisitize waume zao kutumia zana😆😆😆😆
Kwene profile pic yako vipi, jamaa unamtoa kibanzi kwenye jicho lake'nini? 😀😀😜
 
Bila shaka ni wakupondezwa.
 
Upongezwe kwa ujinga? ungekuwa wewe ungempongeza? au angeenda kwao?

Lile usilopenda kutendewa na wewe usilitende kwa mwenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…