kadiri kasimba
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 588
- 1,150
Vitu vinaongezwa Ila maharamia wakija wajivinjari vzr 🔥Ukiwa kazini tunakusaidia majukumu
Hata ukienda sokoni ukinunua nae kila kitu vya wiki nzima, af akaacha chengi ya 3000, hapo mezani ataitafutia matumizi tu siku hiyo hiyo. Kuka na kiumbe mke inahitajika maturity ya hali ya juu wanawake wamejaa vitimbi.Salam bandugu
Je umeshakutana na hii?
Umekaa zako w-end nyumbani labda unaangalia tv, hujakaa sawa unaambiwa mara Nido imeisha, na ni juzi tu ulinunua mara sukari haitoshi mwambie baba Yako akupe Hela,mara watu wa usafi nnje Jana walipita nikamwambia Leo ntawapa Hela,
au ile, una 2000 hapo ya karibu,
yaani siku mwanaume ukiwa nyumbani adi chumvi huwa inaisha, na unakuta labda unanunua vitu vya wiki nzima, na usiposhinda nyumbani Kwa maana ya kuwa kazini,hivyo vitu huwa vinatosha shida inakuwa wapi hapo? Au ndo upigaji wa kiaina?
Hutakiwi kushinda nyumbani hiyo ni mbinu ya kukufukuza😂Salam bandugu
Je umeshakutana na hii?
Umekaa zako w-end nyumbani labda unaangalia tv, hujakaa sawa unaambiwa mara Nido imeisha, na ni juzi tu ulinunua mara sukari haitoshi mwambie baba Yako akupe Hela,mara watu wa usafi nnje Jana walipita nikamwambia Leo ntawapa Hela,
au ile, una 2000 hapo ya karibu,
yaani siku mwanaume ukiwa nyumbani adi chumvi huwa inaisha, na unakuta labda unanunua vitu vya wiki nzima, na usiposhinda nyumbani Kwa maana ya kuwa kazini,hivyo vitu huwa vinatosha shida inakuwa wapi hapo? Au ndo upigaji wa kiaina?
kadiri kasimba naonekana mjinga.Salam bandugu

Sasa tuende wapiHutakiwi kushinda nyumbani hiyo ni mbinu ya kukufukuza😂
😂😂😂😂Ukiwa kazini tunakusaidia majukumu
Kazini😀Sasa tuende wapi
Hata tukimaliza yale masaa 8 ya kazi tubaki nje ya ofisi kisa mwanamke nyumbani.Kazini[emoji3]
Siwez kushinda kazini week nzima!Kazini😀
Umaskini kaka 😊 nyumbani kwa ROSTAM aziziiii sidhani kama mambo madogo madogo kama hayo yanasumbua sumbuaSalam bandugu
Je umeshakutana na hii?
Umekaa zako w-end nyumbani labda unaangalia tv, hujakaa sawa unaambiwa mara Nido imeisha, na ni juzi tu ulinunua mara sukari haitoshi mwambie baba Yako akupe Hela,mara watu wa usafi nnje Jana walipita nikamwambia Leo ntawapa Hela,
au ile, una 2000 hapo ya karibu,
yaani siku mwanaume ukiwa nyumbani adi chumvi huwa inaisha, na unakuta labda unanunua vitu vya wiki nzima, na usiposhinda nyumbani Kwa maana ya kuwa kazini,hivyo vitu huwa vinatosha shida inakuwa wapi hapo? Au ndo upigaji wa kiaina?
Sasa saa nane tu unarudi nyumbani kufanya nini si ukakae hata bar huko upate plan mpya mpyaHata tukimaliza yale masaa 8 ya kazi tubaki nje ya ofisi kisa mwanamke nyumbani.
Kushishida bar na walevi bora ni shide nyumbani kwa vitimbi vya mke.Sasa saa nane tu unarudi nyumbani kufanya nini si ukakae hata bar huko upate plan mpya mpya