Eti wanawake; ni kwanini mwanaume akishinda nyumbani vitu huwa vinaisha ndani?

Eti wanawake; ni kwanini mwanaume akishinda nyumbani vitu huwa vinaisha ndani?

Salam bandugu
Je umeshakutana na hii?

Umekaa zako w-end nyumbani labda unaangalia tv, hujakaa sawa unaambiwa mara Nido imeisha, na ni juzi tu ulinunua mara sukari haitoshi mwambie baba Yako akupe Hela,mara watu wa usafi nnje Jana walipita nikamwambia Leo ntawapa Hela,
au ile, una 2000 hapo ya karibu,
yaani siku mwanaume ukiwa nyumbani adi chumvi huwa inaisha, na unakuta labda unanunua vitu vya wiki nzima, na usiposhinda nyumbani Kwa maana ya kuwa kazini,hivyo vitu huwa vinatosha shida inakuwa wapi hapo? Au ndo upigaji wa kiaina?
Nyumbani kwa kulala. Ukianza kushinda nyumbani mtakosana tu. We ipige nyau sepa nenda kakae mtaani mpaka muda wa kulala
 
- Twist kidogo utaratibu.
Fanya hivi:
  • Uwe unaomba orodha ya mahitaji siku mbili kabla ya weekend. Msisitize manunuzi fanye mapema
  • Ili weekend unapokuwa nyumbani basi unahakika kila kitu kipo ndani (ikiwemo hivyo vyote ulivyovitaja).
Kisha fanya tathimini.
bado hatakosa cha kuombea hela!
Sa hata ni nying kwanii?
Hem wapeni jamani!
 
Salam bandugu
Je umeshakutana na hii?

Umekaa zako w-end nyumbani labda unaangalia tv, hujakaa sawa unaambiwa mara Nido imeisha, na ni juzi tu ulinunua mara sukari haitoshi mwambie baba Yako akupe Hela,mara watu wa usafi nnje Jana walipita nikamwambia Leo ntawapa Hela,
au ile, una 2000 hapo ya karibu,
yaani siku mwanaume ukiwa nyumbani adi chumvi huwa inaisha, na unakuta labda unanunua vitu vya wiki nzima, na usiposhinda nyumbani Kwa maana ya kuwa kazini,hivyo vitu huwa vinatosha shida inakuwa wapi hapo? Au ndo upigaji wa kiaina?
Atakuwa anaangalia unayo hiyo akili kweli
 
Mwanamke anaishi na mwanaume kimkakati sana
Hawacheki na kima kama wanaume kutwa kujaribu kumfurahisha mwanamke huku wakiwachora
Akishazaa hata mtoto mmoja ndo ujue vitimbi vinaongezeka
 
Back
Top Bottom