jooohs
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 3,908
- 15,013
Duu wanawake sijui wanamatatizo gani mfano mimi huwa sikai nyumbani pesa na tuma ya matumizi ya mwezi mzima.
Sasa kipindi cha likizo hata nikirudi katikati ya mwezi naanzia hapo kuombwa pesa ya matumizi hadi naondoka. Wakati pesa ya matumizi ya mwezi mzima nilishampatia.