snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,338
Ajabu ni kuwa huko mnakokimbilia ili msiombwe hela mnaumia hela nying kuliko ile ungempa mkeo nyumbani!
Na bado gharama zingine za kijamii , migogoro ya kurudi umelewa, una alama ya lipctick, au sijui unanukia perfume ya kike, mara sijui umeulizwa kama umefika au la!
Mradi tu vurugu!
Si bora tu muwape kina mama chanja hizo 8200 wanazoomba!
We mpe tu!
Tunajiskia raha tukisimama mbele yenu tukarembua na kuomba hela!
Find sexiness in the act!
Badala ya kuona inakera!
How about kununua bao la siku hiyo mchana!
akiomba hela mwambie sikupi mpk unipe kimoja!
Atacheka ndo unakula kimasikhara yako saaafi!