kadiri kasimba
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 588
- 1,150
- Thread starter
- #81
Sasa muuafaka ni upi bandugu?
Nimecheka sana...majuzi kati nikiwa safari nimemtumia wife 400,000 ya matumizi. Nimerudi jana usiku nimebaki na 30,000 mfukoni nimeamka asubuhi niwapatie madogo 10,000 ya soda nashangaa pesa hakuna.Hata ukienda sokoni ukinunua nae kila kitu vya wiki nzima, af akaacha chengi ya 3000, hapo mezani ataitafutia matumizi tu siku hiyo hiyo. Kuka na kiumbe mke inahitajika maturity ya hali ya juu wanawake wamejaa vitimbi.
Kilio Cha wanaume wengi mkuu!Nimecheka sana...majuzi kati nikiwa safari nimemtumia wife 400,000 ya matumizi. Nimerudi jana usiku nimebaki na 30,000 mfukoni nimeamka asubuhi niwapatie madogo 10,000 ya soda nashangaa pesa hakuna.
Nikauliza vp pesa umechukua eti ndiyo niliwapa watoto wakanunua sukari. Ikabidi nicheke tu, nikamtoa out kwenda kula na kunywa kidogo nikamuuliza vp 400000 nilikutumia imeisha, akasema kwani wewe nikikupa laki 4 unamaliza nayo siku ngapi?
Wanawake bwana....pesa ya mwanaumme inapata bajeti wakati wowote.
Naonaga wazee wangu nikiwatembelea ...Bi mkubwa yeye pesa zake anabana ila za Mzee zinapata matumizi kila kukicha japo ni wazee. Yaani mzee akionekana tu na salio tayari Bi. Mkubwa ameshamshawishi na kuipangia bajeti..Kilio Cha wanaume wengi mkuu!
Au ile watoto wanamtembelea mama na baba halafu mama anapewa 200k kimya kimya halafu baba anapewa 100k nae kimya kimya baadae mama anakuja Kwa baba na 50k anasema ndo hiyo kapewa wakati baba anaiweka yote mezani 100k!Naonaga wazee wangu nikiwatembelea ...Bi mkubwa yeye pesa zake anabana ila za Mzee zinapata matumizi kila kukicha japo ni wazee. Yaani mzee akionekana tu na salio tayari Bi. Mkubwa ameshamshawishi na kuipangia bajeti..
Ya kuvutaHewa kwa maana ya gesi au mimi sijaelewa 🤔
Pikia njeenh ndio , Baba chanja jikoni hakuna hewa naomba hela ya kupumulia!
Nikajua bro hua ni mtafutaji kumbe ua anakimbia hii kero ni ngumu kumkuta kwake MPAKA juwe na sherehe na akisha kula anakimbia barSalam bandugu
Je umeshakutana na hii?
Umekaa zako w-end nyumbani labda unaangalia tv, hujakaa sawa unaambiwa mara Nido imeisha, na ni juzi tu ulinunua mara sukari haitoshi mwambie baba Yako akupe Hela,mara watu wa usafi nnje Jana walipita nikamwambia Leo ntawapa Hela,
au ile, una 2000 hapo ya karibu,
yaani siku mwanaume ukiwa nyumbani adi chumvi huwa inaisha, na unakuta labda unanunua vitu vya wiki nzima, na usiposhinda nyumbani Kwa maana ya kuwa kazini,hivyo vitu huwa vinatosha shida inakuwa wapi hapo? Au ndo upigaji wa kiaina?
Kuna kamsemo kanasema kuwa uyaone 😎Nikajua bro hua ni mtafutaji kumbe ua anakimbia hii kero ni ngumu kumkuta kwake MPAKA juwe na sherehe na akisha kula anakimbia bar
Noma sanaNi suala la muda tu😂
Mkuu mbona wewe mwenzetu unatumia pesa hovyo unamuachiaje mwanamke nusu mshahara kama matumizi kwasiku 3 tu af unampa mtoto 10,000 ya shule wakati wakwetu tunawapa Jerome au 200 tu au wewe ni wale mnao pata pesa kwa kupiga dili za kodi yetu tu.Nimecheka sana...majuzi kati nikiwa safari nimemtumia wife 400,000 ya matumizi. Nimerudi jana usiku nimebaki na 30,000 mfukoni nimeamka asubuhi niwapatie madogo 10,000 ya soda nashangaa pesa hakuna.
Nikauliza vp pesa umechukua eti ndiyo niliwapa watoto wakanunua sukari. Ikabidi nicheke tu, nikamtoa out kwenda kula na kunywa kidogo nikamuuliza vp 400000 nilikutumia imeisha, akasema kwani wewe nikikupa laki 4 unamaliza nayo siku ngapi?
Wanawake bwana....pesa ya mwanaumme inapata bajeti wakati wowote.
sasa nje si hela ndo inakuwa kubwa mana hewa ni nyingi so ntalipia kuvuta hewa nyingi!Pikia nje
Sasa hivi ndio naelewa kwanini mzee wangu alikuwa ashindi nyumbani hata holidayssasa nje si hela ndo inakuwa kubwa mana hewa ni nyingi so ntalipia kuvuta hewa nyingi!
Vya kwao huwa vinawauma sana.Kwa sasa naishi na binti japo sio official, ila nilichogundua kuishi na mwanamke kunahitaji akili kubwa sana. Napatikana nyumbani siku nne tu kwa mwezi au siku saba baada ya siku 40. Lakini nahisi kabisa kushindwa japo tayari ana mimba najitahidi kadri niwezavyo Mungu anitie nguvu.
Imagine unakuta kapaki gari anaenda kazini kwa boda kisa sijatuma hela ya mafuta, ila ndani ana zaidi ya 300k. Nilipomuuliza anajibu, "hukuniambia niweke mafuta kwa hela hii".
Mambo ni moto, sema ukiwa na akili kidogo unasolve tu hizi issue ni ndogo ndogo sana.Vya kwao huwa vinawauma sana.
Na hapo ukute hata majukumu yake ya kike nyumbani hafanyi, Maumivu yake nakupa pole sana.
Nilichogundua ni wanakuwa wanajua 100% wanachokifanya, ila wanaangalia na wanaemfanyia ivo (ni wepesibsana kumlearn mwanume na anakuwa aishakujua siku nyingi sana).Mambo ni moto, sema ukiwa na akili kidogo unasolve tu hizi issue ni ndogo ndogo sana.
Kuna kpindi nilikuwa nje kikazi, ukafika muda wa kulipa kodi nikamwambia lipa nikirudi nitakurudishia.
Kweli alilipa ile pesa, nilivyorudi nikampa 3M ya matumizi yake ila nilishangaa ananidai hela yake ya kodi isiyofika hata 1M. Nilibaki kucheka nikiwa peke yangu.
Nilikaa nje kwa muda wa miezi kama minne hivi pia nilishabeba jukumu la yeye kumhudumia, pesa yake ahudumie kwao. Maana mshahara wake ni wa kawaida sana yupo around 700k-900k take home.Nilichogundua ni wanakuwa wanajua 100% wanachokifanya, ila wanaangalia na wanaemfanyia ivo (ni wepesibsana kumlearn mwanume na anakuwa aishakujua siku nyingi sana).
Ila mkuu 3M ya matumizi tu na mwanamke anakazi yake😁....jokes.
Hapo sawa mkuu.Nilikaa nje kwa muda wa miezi kama minne hivi pia nilishabeba jukumu la yeye kumhudumia, pesa yake ahudumie kwao. Maana mshahara wake ni wa kawaida sana yupo around 700k-900k take home.
So kuna vitu lazima nimfanyie ila sasa, kwa akili yake ya kipuuzi anahisi ananichuna maskini ya Mungu.
Mkuu ukiuliza hapo utaambiwa ni mimba ndo Inamfanya hivyo🙌🙌Kwa sasa naishi na binti japo sio official, ila nilichogundua kuishi na mwanamke kunahitaji akili kubwa sana. Napatikana nyumbani siku nne tu kwa mwezi au siku saba baada ya siku 40. Lakini nahisi kabisa kushindwa japo tayari ana mimba najitahidi kadri niwezavyo Mungu anitie nguvu.
Imagine unakuta kapaki gari anaenda kazini kwa boda kisa sijatuma hela ya mafuta, ila ndani ana zaidi ya 300k. Nilipomuuliza anajibu, "hukuniambia niweke mafuta kwa hela hii".