Eti wanawake; ni kwanini mwanaume akishinda nyumbani vitu huwa vinaisha ndani?

Salam bandugu
Je umeshakutana na hii?

Umekaa zako w-end nyumbani labda unaangalia tv, hujakaa sawa unaambiwa mara Nido imeisha, na ni juzi tu ulinunua mara sukari haitoshi mwambie baba Yako akupe Hela,mara watu wa usafi nnje Jana walipita nikamwambia Leo ntawapa Hela,
au ile, una 2000 hapo ya karibu,
yaani siku mwanaume ukiwa nyumbani adi chumvi huwa inaisha, na unakuta labda unanunua vitu vya wiki nzima, na usiposhinda nyumbani Kwa maana ya kuwa kazini,hivyo vitu huwa vinatosha shida inakuwa wapi hapo? Au ndo upigaji wa kiaina?
Hii nafikiri ni wewe tu inakukuta kwenye nyumba yako, usikute mumeo anahonga kwa msichana wa kazi wa jarani.
 
Ukishinda nyumbani utapikiwa unachotaka(gharama zitaongezeka), ukishinda kazini atakupikia anachotaka(pesa nyingine ataibana)

Ili usiharibu badget yake ya kubana pesa unapokuwa umeshinda nyumbani lazima uongezewe gharama.

Ni ngumu kumtenganisha mwanamke na pesa.

Hili swala halihitaji kusoma sana ili kuelewa ila ukiwa nje ya chama cha majobless pro max lazima upate tabu kuelewa.

Khalas.

Intelligent businessman Selikavu dosho12 Edo kissy
 
Mtafutie mkeo kitu cha kufanya ili awe Anafix mambo madogo madogo kama Chumvi, Sukari, Sabuni na vinginevyo.
 
Ukishinda nyumbani utapikiwa unachotaka(gharama zitaongezeka), ukishinda kazini atakupikia anachotaka(pesa nyingine ataibana)

Ili usiharibu badget yake ya kubana pesa unapokuwa umeshinda nyumbani lazima uongezewe gharama.

Ni ngumu kumtenganisha mwanamke na pesa.

Hili swala halihitaji kusoma sana ili kuelewa ila ukiwa nje ya chama cha majobless pro max lazima upate tabu kuelewa.

Khalas.

Intelligent businessman Selikavu dosho12 Edo kissy
Chama chetu kina jopo la wajuvi wa kila nyanja, Raisi wetu anasoma vitabu vya kila aina ili kusaidia wanachama, tuna wanasheria, tuna ma hacher wa magemu wanajua cheat code za kila kitu, kuna ma programmer 😂😂 kiufupi hii ni taasisi
 
Umeelezea kwa kina sana ila kuna watu bado hawataekewa 😂😂😂
 
Back
Top Bottom