Eti wanawake; ni kwanini mwanaume akishinda nyumbani vitu huwa vinaisha ndani?

Hii nafikiri ni wewe tu inakukuta kwenye nyumba yako, usikute mumeo anahonga kwa msichana wa kazi wa jarani.
 
Ukishinda nyumbani utapikiwa unachotaka(gharama zitaongezeka), ukishinda kazini atakupikia anachotaka(pesa nyingine ataibana)

Ili usiharibu badget yake ya kubana pesa unapokuwa umeshinda nyumbani lazima uongezewe gharama.

Ni ngumu kumtenganisha mwanamke na pesa.

Hili swala halihitaji kusoma sana ili kuelewa ila ukiwa nje ya chama cha majobless pro max lazima upate tabu kuelewa.

Khalas.

Intelligent businessman Selikavu dosho12 Edo kissy
 
Mtafutie mkeo kitu cha kufanya ili awe Anafix mambo madogo madogo kama Chumvi, Sukari, Sabuni na vinginevyo.
 
Chama chetu kina jopo la wajuvi wa kila nyanja, Raisi wetu anasoma vitabu vya kila aina ili kusaidia wanachama, tuna wanasheria, tuna ma hacher wa magemu wanajua cheat code za kila kitu, kuna ma programmer πŸ˜‚πŸ˜‚ kiufupi hii ni taasisi
 
Umeelezea kwa kina sana ila kuna watu bado hawataekewa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…