Eti Wema mzuri zaidi kumzidi Zari?

Wema mbayaaa hata dem wangu haingiiiiiiiiiiiiiii....zari mzuri jaman yule mwanamkeeeee mmmmmh sheeeedar
 
Yani wema bhanaaaa apanaaa....kwa zariii hatiivhata mguuuu....
Yule zarii mzuri kama vile malaikaaaaaa.....lol

Ktu kingne wema akil zake cjui kazpelekag wap af zar mtu na heshm yake na akil zake bhan
 
Nan anangombaniaaa?????? Wkti hana mume anahangaikaaaa

Haaaahaaa abajikut tu anajivalsha mshela wake anajioa mwenyw yaaan vichomi ving yaan chibu na zari wamemuweza kwel maan 😀😀
 
Ktu kingne wema akil zake cjui kazpelekag wap af zar mtu na heshm yake na akil zake bhan

Wabongo mnaona mtu mix race ndio mzuri, assume Zari angekuwa black.
Kwa heshima Zari wala huwezi kumuhesabia hana tofauti ba Wema kwa kubadilisha wanaume. Tofauti yao Zari alizaa
 
Ila jamani zari katulia hana mapepe kama wema ,,yaan anajiweka sijui aje nisemejee,,mambo yake ni taratibu hakumbatii watu hovyo kama wema,hana mashoga holela ,ingekua wema yupo palee angelewaa yaan ingekua ni kigodoro si kigodoroo

Sio kweli bwana, hawana tofauti na Zari anaweza kuwa worse. Zari alibahatika akapata mwanaume decent sio chupi mkononi km kina Diamond akampa future. Hata Wema anaweza kupata mwanaume wa kueleweka siku moja akatulia. So msimpambe huyo Zari km malaika au kwa vile mix race ndio mnamsifia mana wabongo kwa ilimbukeni....
 
Hivi Wema si alikuwa na wapenzi wengi kama kina MR BLUE,ABDUL JUMBE,KANUMBA(RIP),TID plus MAPEDESHEE wengi tu.Ni kwanini wanalazimisha awe na Diamond na siyo hao wengine?
 
Wabongo mnaona mtu mix race ndio mzuri, assume Zari angekuwa black.
Kwa heshima Zari wala huwezi kumuhesabia hana tofauti ba Wema kwa kubadilisha wanaume. Tofauti yao Zari alizaa

Nilikuwa sijui kama wema amewahi kutulia na mwanaume miaka mingi kama 15 ileeee aliyokaa Zari na baba watoto. Wema amekaa na nani miaka mingi tuseme 5 au 10?
 
Nilikuwa sijui kama wema amewahi kutulia na mwanaume miaka mingi kama 15 ileeee aliyokaa Zari na baba watoto. Wema amekaa na nani miaka mingi tuseme 5 au 10?
Hajakaa na Ivan miaka 15, Zari ameanza kuchepuka muda tuu. Kwani list ya wanaume zake huwajui? na point ni wote hawajatulia. Ila Zari alibahatika kumpata mwanaume decent na mwenye hela akatulia kwa muda. Wema aliendekeza moyo wake kwa kumuacha CK akamfuata Diamond,na Diamond ni kicheche wa kiume. Wema angetulia hapo angekuwa mbali. Ila kwa kubadilisha wanaume wote ngoma droo.
Unaweza kusema CK ni mume wa mtu ila ndoa yake ni km km ilovyokuwa ya ndoa ya Mengi.
 


sijui unatetea na kusingizia nini re kuchepuka***listi ya ukweli na uongo ni baada ya kuachana na ex***ila kwa w ukweli unajulikana sio ck tuuuuuuuuu****yeye anasakwa na paparazi***hawasaki wamwandike kama wengine***

enjoy pia humu interviews za ZARI akiwa UK, Sporah ni Mtanzania mwenye show hiyo 2012 na 2013

https://www.youtube.com/watch?v=XcbV-dhP9YM

na hii

https://www.youtube.com/watch?v=TG8TYhEqZ-M
 

Zari alikutana na Ivan akiwa si tajiri kama inavyosemekana na baadhi ya watu, kwa pamoja waliweza kufanya kazi na kufika kwenye huo utajiri, na wamekaa 15 years
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…