Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wema mbayaaa hata dem wangu haingiiiiiiiiiiiiiii....zari mzuri jaman yule mwanamkeeeee mmmmmh sheeeedar
Hahahahah nashangaaa kuj kumfananisha hai na mfu
Yani wema bhanaaaa apanaaa....kwa zariii hatiivhata mguuuu....
Yule zarii mzuri kama vile malaikaaaaaa.....lol
Ktu kingne wema akil zake cjui kazpelekag wap af zar mtu na heshm yake na akil zake bhan
Mm hata bure simchukui
Weeee apo ukipewa bure mbon utamchukua unasem tu chezea beautfull onyinye madame aka mama wanjera
Apnaaaaaaaa....hata utam hana yuleeee
Umejuaje kwan ulionj weee asngekua anagombaniwa
Nan anangombaniaaa?????? Wkti hana mume anahangaikaaaa
Ktu kingne wema akil zake cjui kazpelekag wap af zar mtu na heshm yake na akil zake bhan
Ila jamani zari katulia hana mapepe kama wema ,,yaan anajiweka sijui aje nisemejee,,mambo yake ni taratibu hakumbatii watu hovyo kama wema,hana mashoga holela ,ingekua wema yupo palee angelewaa yaan ingekua ni kigodoro si kigodoroo
Hivi Wema si alikuwa na wapenzi wengi kama kina MR BLUE,ABDUL JUMBE,KANUMBA(RIP),TID plus MAPEDESHEE wengi tu.Ni kwanini wanalazimisha awe na Diamond na siyo hao wengine?Sio kweli bwana, hawana tofauti na Zari anaweza kuwa worse. Zari alibahatika akapata mwanaume decent sio chupi mkononi km kina Diamond akampa future. Hata Wema anaweza kupata mwanaume wa kueleweka siku moja akatulia. So msimpambe huyo Zari km malaika au kwa vile mix race ndio mnamsifia mana wabongo kwa ilimbukeni....
Wabongo mnaona mtu mix race ndio mzuri, assume Zari angekuwa black.
Kwa heshima Zari wala huwezi kumuhesabia hana tofauti ba Wema kwa kubadilisha wanaume. Tofauti yao Zari alizaa
Hajakaa na Ivan miaka 15, Zari ameanza kuchepuka muda tuu. Kwani list ya wanaume zake huwajui? na point ni wote hawajatulia. Ila Zari alibahatika kumpata mwanaume decent na mwenye hela akatulia kwa muda. Wema aliendekeza moyo wake kwa kumuacha CK akamfuata Diamond,na Diamond ni kicheche wa kiume. Wema angetulia hapo angekuwa mbali. Ila kwa kubadilisha wanaume wote ngoma droo.Nilikuwa sijui kama wema amewahi kutulia na mwanaume miaka mingi kama 15 ileeee aliyokaa Zari na baba watoto. Wema amekaa na nani miaka mingi tuseme 5 au 10?
Hajakaa na Ivan miaka 15, Zari ameanza kuchepuka muda tuu. Kwani list ya wanaume zake huwajui? na point ni wote hawajatulia. Ila Zari alibahatika kumpata mwanaume decent na mwenye hela akatulia kwa muda. Wema aliendekeza moyo wake kwa kumuacha CK akamfuata Diamond,na Diamond ni kicheche wa kiume. Wema angetulia hapo angekuwa mbali. Ila kwa kubadilisha wanaume wote ngoma droo.
Unaweza kusema CK ni mume wa mtu ila ndoa yake ni km km ilovyokuwa ya ndoa ya Mengi.